Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
KF ina kila kituLikes
KF ina kila kituLikes
Bado 390 angalau ondoa 20Sawa na nini?
Sasa kumbe vepe???Ukitutuchunia tunakuchunia, rahisi kabisa
Hivi kurembua ni dalili ya kutongoza ama kutongozwa??Wakuu nawatakia usiku mwema.
Maana kwa jinsi ninavyorembua hapa kama ningekuwa nimekaa na mke wa mtu angejua labda namtongoza
************************
Haeleweki hata kidogoAnaishi mwanga
Mkuu chakula gani icho![]()
![]()
![]()

Then your safeMimi! Hapana
Aiseee.Hivi kurembua ni dalili ya kutongoza ama kutongozwa??
Sasa we mtu atakusikiliza vipi wakati zile tarifa za kuwa nakata mafuta ulizotoa zote ni za uonhoNitake radhi tafadhali kabla sijakinukisha.
Mkuu chakula gani icho![]()
![]()
![]()
Hodiiii humu
Unamaanisha mafahari au?Mahafali wawili hawakai boma moja, alimipisha
Itakuwa smartphone ina mzidi nguvu au ana lewa sana mbege.Haeleweki hata kidogo
IngiaHodiiii humu
Namna hiyo yaniiiiSisi ndio habari ya mjini......watufuate wao sisi thread tunasoma halafu km haina interest kwetu TUNAPITA KIMYA TU
No shobo
No ufagio
No kutukana
.....................

Ndo unajua leo??Naona umeaza kunikandia kwasababu ya jimena.
Kweli mwanamke ananguvu.
HahahaaAiseee.
Mbona mimi nikitongoza narembua.

Shikamoo GrandmaUnamaanisha mafahari au?
Atasema tu kuwa yuko wapiHaeleweki hata kidogo
Lakini kama ipo ipo tuOperesheni pandisha wakongwe kwa mabavu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...................