poa sana bossSalama kabisa.
Habari yako mkuu.
Mkuu, mbona nshafika kitambo hapo!EMMYGUY.
sumbai.
lizziebettie.
Mussolin.
KABUGHA.
manuu
peterchoka
amazing
Patience123
Na makapuku wengine mko wapi??
Sasa huyu manuu mbona kama hafanyi kazi yake vizuri?
Mimi niko poa kabisa ndugu.poa sana boss
vp wewe
Nilikuwa sijakuona kaka.Mkuu, mbona nshafika kitambo hapo!
Hahaha nakutaka radhi tafasaliBwana mtumishi nitake radhi kwa kauli yako tasavali.
Karibu sanaaaaaaaNaomben mniunge huku jaman na mm nguvu ni.moja
au juice???Unaniangusha shemeji.Akuuuuuu![]()
![]()
![]()
Me thitakiiii
Acha ushamba mkuu.juice tu kilev hapan
Mada kuu ukipendacho jirushe nachomada kuu
Leo nakesha humuMkuu, mbona nshafika kitambo hapo!
Hakuna mada ila Kuna rulesmada kuu
