Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huu mjadala chief kuuacha naona hatutoweza

Ujue utamu wa kutumika kwa K yawezekana wakina Einstein ,Galileo na wale wababe wa fikizia waliujua mapema chief

K kwanza waliwaza nini kuwa "inategemeana" na some factors mara iongezeke mara ibaki kama kawaida

Mimi nina mawazo pevu ila ngoja kwanza utie neno kwanza
 


Na angeliipata walahiii k ingelizidii kunoga
Ila alikuwa na mawazo fulani ya kikeiiikeiiii...mara ooooh kitu kama hakina external force (stimulus) kitabaki katika hali yake ya kawaida ndoo maana ata juz wakina dimondi na timu yake kuna sehemu wanasema kumchojoa bila maandalizi ni zilipendwa ...usinielewe na mawazo ya kihusna hapa mm nimeunganisha doti tu

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom