Makapuku Forum

Makapuku Forum

Conclusion ni hivi.. ukisoma vizuri phyisics, expansion of material.. costant "K" inaexpand..inakuwa kubwa yaani

Sio mim, ni physics wakina galileo, newton, einsten, faraday etc ndio wameleta balaa hilo..
Ni kweli chief K inategemea na matumizi au kitu kinavotanuliwa (expansion) ...na ukubwa wa K yaani constant uko directly proportional na matumiz halisi ya utanuzi (japo baadhi ya vitu vinatakiwa viwe constant

Physcs raha sana
 
Hii shule iko wapi ??
27ffdb5e4a07e1bd11742d3aa118e68c.jpg

Naweza kumshawishi ata bro ampeleke shunie
 
Ni kweli chief K inategemea na matumizi au kitu kinavotanuliwa (expansion) ...na ukubwa wa K yaani constant uko directly proportional na matumiz halisi ya utanuzi (japo baadhi ya vitu vinatakiwa viwe constant

Physcs raha sana
Proportionality costant.. ila upanuzi ukizid elasticity limit inakuwa plasticity..
 
Hahahahahaha sasa chief ikifikia hatua hiyo si ndo inakua kama kudumbukiza chozi baharini make wanasema hapa ata ufanye modifications zipo haiwezi kurudi katika hali yake ya mwanzo K inazidi kuwa kubwaaa kubwaaaa yaaan mpaka kwenye four figures huionii....
fbef58131bd8c2521b8b9927066a2501.jpg

Apo namba 4 chief utaomba pooo hasa kwa wewe unayejifunza kwa majirani
 
Hahaa... Chiz we naona umeamua kushuka kabisa kuonesha msisitizo..

Y=kx
Where k ni factor ya proportinality..

Dah, arif nimemiss kusolve solve
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom