Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Akikujibu nitag..Mmmmh
Lini
Muhogo, kiazi bhana.. kwenda huko..Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

Ndio asantee siku ingine ukipata unirushie eeVp ilifunguka

Teh teh teh.. we kweli ulikuwa mdau arifu...Pure one na Pure 2![]()
UsijaliAkikujibu nitag..
Juzi hyo kaja na makelele kibao kumbe uzushi banaMmmmh
Lini
Rangi zaid ya bukuSiwez bisha make anko kama kinyonga
Naskia season four imetka cjui titapzta favour tenaNdio asantee siku ingine ukipata unirushie ee![]()
Ilikwa jana bwana...Juzi hyo kaja na makelele kibao kumbe uzushi bana
Nilikuwa mdau aisee..mTeh teh teh.. we kweli ulikuwa mdau arifu...
Nawaona nawaonaIlikwa jana bwana...
Cc Transcend
Umeona jibu lakeeNawaona nawaona
Wewe unajua hivo sawa ....husna unafikiri anawaza nini kama sio yenyewe![]()
![]()
![]()
![]()

Apo chief ndo unanifanyia wazungu wakiitacho not fair ...![]()
![]()
![]()
![]()
Mshikaji wangu husna unataka anione nimeona maono yake ??

Hapo nahisi nimefanya kile kitu kwenye soka tunaita fairplay..
Maana kwa mzaramo yule kujiongeza, kumaanisha visivyomaanishwa..![]()
mie simo chief
![]()
![]()
![]()

Chief niachie amani na mshikaji wangu make anko obe akijua bhasi ishakua nongwa
Tufanye hivi tuendelee kushikana bega mpaka hiyo constant K tupate muafaka
