Makapuku Forum

Makapuku Forum

Safi tu mkuu
Vipi nawe mtazamo wako kuhusu Tupac Omar Shakur

Maana Chid Benz katuambia yupo hai na pia Suge Knight naye kasema hivyo.

VIPI KWAKO?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chid unga unampeleka puta
Suge stress zinampa tabu.

Tupac is dead.. kilichokuwa hai ni mziki wake na yale aliyozungumza na kuwa kama utabiri kupitia mziki wake
 
Back
Top Bottom