makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,930
- 104,253
Safi kama kwa mzee safiWakuu habar za siku mbili hivi?

Muziki: Siku ya Sayansi KF
Ni imani yangu kabisa, kila mtu ana imani yake FYI, kuwa leo uliianza wiki kwa hatua nzuri kabisa na usiku huu umeingia unajitafakarisha nini ukiendeleze na nini usikiendeleze maana kila mmoja anajijua hatua anazopitia kufanikisha kila anachoamini. Hivi ninaandika nini, maana hata mimi najikuta naandika tu bila hata kukusalimia Kapuku wewe mheshimika na kukuuliza wikend yako ilikuwaje.
Leo humu tumeanza na sayansi, asante sana anko mdogo Lyon Lee na makaveli10 kwa kutusayansisha yaani kutuonjesha ufahamu wa kisystematic unaojenga na kuorganize ufahamu katika hali ambayo unaweza kujaribisha (testability) na ukatabiri mambo makubwa. Heh, na Transcend nimekutambua uwepo wako. Sisi wengine mlipokuwa mnaongelea masuala ya K na msuguano, hasa mimi nikatamani akili zangu nizipeleke napopenda lakini ndo muhali tena nilikuwa na kiongozi mmoja wa dini anayeamini mimi ni mtakatifu sana. Na alinishangaa nilipomwambia mimi sitapenda kwenda mbinguni ikiwa marafiki zangu wa Makapuku hawatakuwepo. Na kwa vile nilikuwa nimepiga mtungi kidogo nikamwambia ' I would rather not to go to heaven if nobody is there but me. I want to go because my great Makapuku members will be there'. Sina hakika kama aligundua sikuwa sober.
Muziki sasa, jana hamkuniona humu, rafiki wa anko kateuliwa kuwa waziri, sasa ndo anko akanipa mwaliko wake wa kujipongeza hata kabla hajatawazwa, well, sio kutawazwa unakokujua ukiwa umeshiba kiporo, namaananisha uapisho uliofanyika leo. Burudika na gitaa na sauti ya chuma ya mwanamama ninayemuhusudu bila husuda
Acha nao nongwa kweli kweliiMaticha nux
Kwa mzee nani?Safi kama kwa mzee safi
Mzee safi..Kwa mzee nani?
Shedede niajeMambo shunie

bora kabisaAnko shukrani sana ila nina ujumbe wako kidogo

Anko jamani acha uongo utamshauri nini wakati wewe apa naona una husna na Blessed H au husna anadanganyaAnko, nimeuona mbona na nishafanya mambo tayari. Nitarejea kiurefu kidogo, nilikuwa na mjumbe wa tume ya jinsi ya kuishi na mpenzi mmoja nampa ushauri
Dadangu mieNipo kiboko yao![]()
Ubarikiwe nawe bibie

Muziki: Siku ya Sayansi KF
Ni imani yangu kabisa, kila mtu ana imani yake FYI, kuwa leo uliianza wiki kwa hatua nzuri kabisa na usiku huu umeingia unajitafakarisha nini ukiendeleze na nini usikiendeleze maana kila mmoja anajijua hatua anazopitia kufanikisha kila anachoamini. Hivi ninaandika nini, maana hata mimi najikuta naandika tu bila hata kukusalimia Kapuku wewe mheshimika na kukuuliza wikend yako ilikuwaje.
Leo humu tumeanza na sayansi, asante sana anko mdogo Lyon Lee na makaveli10 kwa kutusayansisha yaani kutuonjesha ufahamu wa kisystematic unaojenga na kuorganize ufahamu katika hali ambayo unaweza kujaribisha (testability) na ukatabiri mambo makubwa. Heh, na Transcend nimekutambua uwepo wako. Sisi wengine mlipokuwa mnaongelea masuala ya K na msuguano, hasa mimi nikatamani akili zangu nizipeleke napopenda lakini ndo muhali tena nilikuwa na kiongozi mmoja wa dini anayeamini mimi ni mtakatifu sana. Na alinishangaa nilipomwambia mimi sitapenda kwenda mbinguni ikiwa marafiki zangu wa Makapuku hawatakuwepo. Na kwa vile nilikuwa nimepiga mtungi kidogo nikamwambia ' I would rather not to go to heaven if nobody is there but me. I want to go because my great Makapuku members will be there'. Sina hakika kama aligundua sikuwa sober.
Muziki sasa, jana hamkuniona humu, rafiki wa anko kateuliwa kuwa waziri, sasa ndo anko akanipa mwaliko wake wa kujipongeza hata kabla hajatawazwa, well, sio kutawazwa unakokujua ukiwa umeshiba kiporo, namaananisha uapisho uliofanyika leo. Burudika na gitaa na sauti ya chuma ya mwanamama ninayemuhusudu bila husuda

Ostadhi huyu, ruksa wa4Anko jamani acha uongo utamshauri nini wakati wewe apa naona una husna na Blessed H au husna anadanganya
Nakataa ukoo wetu hauna chembe hizo ata kama mm mdogo ila anafanya kwa matakwa ya moyoOstadhi huyu, ruksa wa4
Mie lakin najua ni ostadh mkubwa tuu..Nakataa ukoo wetu hauna chembe hizo ata kama mm mdogo ila anafanya kwa matakwa ya moyo
Siwez bisha make anko kama kinyongaMie lakin najua ni ostadh mkubwa tuu..
Pure one na Pure 2Dah.. halafu kuna pure mathematics chenyewe arif, we acha tu, nimesolve sana vitabu hivi.

Asantee mkuuHuu ndio ujentroo man, wajinga wengine wanaona ni ubushoke.. pitia kwa mangi unywe soda ntalipa mim mkuu