Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umeonaaa alivokuwa bado mbumbumbu au hakulinua alitendalo...

Kwenye friction alipatia kweli kwani uliyoyataja kuna ambacho ni cha uongo hasa pale friction yaani msuguano unapofana lazma hayo yote yatokee

Na very applicable mfano baridi ikizidi unasikia majirani wanadai ndo mda muafaka
Na ya 4.. kitu kimoja kikibana.. friction yake inakuwa kubwa kweli, na effect ya friction inakuja kiurahis

Alifeli tu hakufanya majaribio..
 
69b7aa2597ef135f420d912d2b0d6822.jpg
Niite basi jamaaani
 
Na ya 4.. kitu kimoja kikibana.. friction yake inakuwa kubwa kweli, na effect ya friction inakuja kiurahis

Alifeli tu hakufanya majaribio..
Walahiiiii jamaa alifungua sana akili za wengine kuanza kuwaza nje ya box...hivi naye alikua dwanzi wa dizaini gani utoe mawazo fikirishi alafu unashindwa kuitambua nakujua thamani ya K watu wengine bwanah shida tupu

Apo kwenye kubana kwani uongo utamu kunoga ukisoma vizuri??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom