Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sio tabia yangu hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana mm mwenza wangu namuitaga majina yenye thamani kidogo sio kama hayo yenu ya chocolate na my potatoes wakati dukani ata buku tano haifiki

Uliza wangu namthaminisha na yapii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we wapi uliona namuita goma langu bei za 250.. au unakujaga kupiga chabo dirishani!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna siku kwenye lipantoniiii la uko kwenu nilikaa na wewe karibu kama nilisikia unamcall swty potato wakat muunganiko wake ndo unatengeneza kiepe buku jeba
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muongo wewe kwanza mie sina goma, mama kanikataza michezo hyo, muulize shunie,we jamaa ni muongo, halaf pale huwa sipandi pantoni, huwa navuka kwa kuogelea...[emoji23] [emoji23]
 
Hiiii mama kwani yeye alikupataje jamaniii mbona anakufundisha roho mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujue hivi viumbe vipo ili tutumikianee sasa wewe naona unatumikishwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pole sana ila mama yako nimempenda kwelii yawezekana alikuona tangu utotoni akikuogesha na geisha
 
69b7aa2597ef135f420d912d2b0d6822.jpg
 
Back
Top Bottom