Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hiiii mama kwani yeye alikupataje jamaniii mbona anakufundisha roho mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujue hivi viumbe vipo ili tutumikianee sasa wewe naona unatumikishwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pole sana ila mama yako nimempenda kwelii yawezekana alikuona tangu utotoni akikuogesha na geisha
Alinipata muda ulipowadia, sasa kaniambia namie ntulie nimtunzie mke wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,sio nichovye chovye hovyo kama buyu la asali..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
69b7aa2597ef135f420d912d2b0d6822.jpg
Baby ake mie Transcend najua wewe msongo wa mawazo unausikia kwa majirani!!!
 
Alinipata muda ulipowadia, sasa kaniambia namie ntulie nimtunzie mke wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,sio nichovye chovye hovyo kama buyu la asali..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuchovya raha wewe tunza kama na huyo mke sijui kakitunzia au ndo yale ya kupatiwa kitchen party kwanza kama wao ?? Ubunifu sifuriiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] darasani kwanza
 
Wanantisha eti wananiambia husikii ile methali ya chovya chovya humaliza buyu la asali.. eti nikichovya sana itapukutika na kubak kama kakidole..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom