makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Kigamboni safi, ila nimechoka kidogo niko mwanza.Iko poa kabisa jirani, za kg
Kigamboni safi, ila nimechoka kidogo niko mwanza.Iko poa kabisa jirani, za kg
Dah unakula Sato tuKigamboni safi, ila nimechoka kidogo niko mwanza.
Njema ubarikiwe sanaMama mchungaji habari za familia
[emoji3][emoji3][emoji3]Kho kho kho
Hahahaaa [emoji3][emoji3][emoji3]Mbutaaa
Una mimba
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ahsante mpendwa wangu..
Mara nikwendee....mara nije .....[emoji57] [emoji57]Husna... Njoo swahiba wangu..
Njoo bhana nakutania tu kichuna changu,mi na weye tena, kama chanda na pete..Mara nikwendee....mara nije .....[emoji57] [emoji57]
Aisee, siku hizi sipigi mswaki maana kinywa kinanukia sato sato tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah unakula Sato tu
Wajawazito hupenda saana fantaHahahaaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Fanta inahusiana vipi na mimba?
Basi ngoja nijipange tuu...Wajawazito hupenda saana fanta
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Njoo bhana nakutania tu kichuna changu,mi na weye tena, kama chanda na pete..
(hapo nimekukumbatia nakufuta vimachozi vya kushushuliwa)
Nimetumwa na shunie ....matangazo eti ndo kama yamechochewaa kwenye simu yake ....ile aliyoweka kama inamkomoa sasaNjoo bhana nakutania tu kichuna changu,mi na weye tena, kama chanda na pete..
(hapo nimekukumbatia nakufuta vimachozi vya kushushuliwa)
WoyoooBasi ngoja nijipange tuu...
December nanunua Freezer kabisa la kuweke Fanta [emoji3]
Nakuona ukinywa fanta ujueWoyooo
Na barafu ndani yake za kutoshaNakuona ukinywa fanta ujue
Lazima awe t.oHii shule iko wapi ??![]()
Naweza kumshawishi ata bro ampeleke shunie [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh!! Basi aipige chin, nahis setting tuu mie niliitumia kitambo ikanisaidia kichiz, hakuna cha ads wala bibi yake ad.Nimetumwa na shunie ....matangazo eti ndo kama yamechochewaa kwenye simu yake ....ile aliyoweka kama inamkomoa sasa
Mwambie ajaribu adblock plus, adway, kuna lucky patcher..Nimetumwa na shunie ....matangazo eti ndo kama yamechochewaa kwenye simu yake ....ile aliyoweka kama inamkomoa sasa