BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Morning ShululuMorning all kapuku
Morning ShululuMorning all kapuku
Asante kwa neno la uzima mama mchungaji
Ubarikiwe sana
Ubarikiwe HusobeNa hapo ndio mwisho Wa Leo katika historia
Husobe

Asante mshikajiiNa hapo ndio mwisho Wa Leo katika historia
Husobe
Hhmm.. sasa hapo mpendwa we tumia tu hvyo hvyo, nmejaribu kuipakua lakin inazingua, kungekuwa na uwezekano ungentumia apk yake..Maka hakuna chochote yapo vile vile yale mawili niliyokutumia
Na kwako pia mamii...Zaburi 130
5 Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia.
6 Nafsi yangu inamngoja Bwana, Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Naam, walinzi waingojao asubuhi.
7 Ee Israeli, umtarajie BWANA; Maana kwa BWANA kuna fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi.
8 Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.
Amen
MUNGU AWABARIKI JUMATATU NJEMA NA WIKI NJEMA![]()
Morng jirAniMorning all kapuku
Masihara haya na mjomba koboko..
Teh teh teh... Warus bhana, kwahyo kwao safari ilikuwa km fanta tuu
Morning too jiraniMorng jirAni
Mama mchungaji habari za familiaMorning Shululu
Ahsante mpendwa wangu..Na hapo ndio mwisho Wa Leo katika historia
Husobe
Husna... Njoo swahiba wangu..
Vip hali jiraniMorning too jirani
Iko poa kabisa jirani, za kgVip hali jirani
KabisaTeh teh teh... Warus bhana, kwahyo kwao safari ilikuwa km fanta tuu