Amina na wewe pia BlessedHope[emoji524]Zaburi 130
5 Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia.
6 Nafsi yangu inamngoja Bwana, Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Naam, walinzi waingojao asubuhi.
7 Ee Israeli, umtarajie BWANA; Maana kwa BWANA kuna fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi.
8 Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.
Amen
MUNGU AWABARIKI JUMATATU NJEMA NA WIKI NJEMA[emoji120]
MorningMorning all kapuku
Kwenye madini kweli bado pasua kichwa
Mkuu hapo sijui alitumia kifungu cha katiba mpya au
Dunia hii na ujana unatupeleka pabaya ....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] magazeti mengine bwanaah
ShukraniView attachment 605243Asubuhi njema wadau
Nawatakieni mwanzo mwema wa wiki
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Shukrani