Makapuku Forum

Makapuku Forum

Watu wanafiki jamani loh! Eti " nimekupenda muonekano wako"!

Alivyokuwa single ulimlingia leo yuko na mpendwa wake ndio unataka umuharibie poozi
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]


...mpendwa, hili kaburi mbona maiti tuliichoma, na majivu ndo vile tena mambo ya gabachori aka baniani. Umeamua kufika pale walipochomea eeh
 
Back
Top Bottom