Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ujue namaanisha ukaribu kwangu sio kwakoUbungo![]()
Ujue namaanisha ukaribu kwangu sio kwakoUbungo![]()
MmmhUjue namaanisha ukaribu kwangu sio kwako
Shem ujue umeniacha njia panda kabisa na hivi simu yangu mda wowote inazima![]()
![]()
![]()
![]()
Usinambiee mawazo yashaanza kubadirika
PoleniWoiiii kama huku na huh mgawo tuliokuwa nao wa umeme shida tupu jaman
We si bora upo njia pandaShem ujue umeniacha njia panda kabisa na hivi simu yangu mda wowote inazima
Mnatishaaaaa ndio mana naogopa sana siku hizi kuingia kapuku sababu ya huyo avatar mjue

Hunie..Poleni
LovieHunie..
Sijatekwa mjukuu wangu... Niko kikaizi zaidi... Siku ukiona nimepotea na kapuku mmoja wa kike kapotea ujue nimetekwa![]()

Ukiangusha mbuyu mashetani ya kwenye mbuyu yatahamia kwako..mdau, Shaggy hachoshi kusikiliza na nyimbo zake ni nzuri na hiyo ni mojawapo. Wewe burudika nami ngoja niendlee kuangusha mbuyu hapa
Kwani alikwambia hajui?Leo ijmaa
Wee pumu ee kapumulie chooni na nzi akuingie mdomoni....Mr lover lover..
Nipewa karipio kali kwa maneno hayo Unajua?
Hv aliweka?Natamba ×3
kilichonishawishi ni upole wako na heshima yako wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako sura yangu ya upole shunie mimiimemvutia baba d wangu shape twiga mwenda pole anajivunia lee empire
tupeane mapenzi iwachome na kama no waisome hata tukigombana wasione washike jembe wakalime mapenzi mazuri wakikutana wawili wanaopendana
tusizidishe washauri watasababisha tugombane
Woooooooozaaaaaaaaaaaa
Binamu yangu obe kipenzi najua mambo hizi zangu na mjomba ako hutaki kabisa kusikia naomba niweke mie nyimbo ya natamba ya aslay niendelee kumtambia mjomba hata kama umeshaweka nyimbo naomba uniwekee kama hauna bundle nikutumie na ole wako usiweke nakushtaki
