Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki wa Mdhamini: Tambo Sio Kitambi

Usiku mnene ndo huu na ninakuletea ombi la mdhamini, aunty yangu Shunie anayemvumilia anko wangu lee empire na haachi kumtumia hili songi nasi tuburudike nalo. Bado nipo sijarudi napotakiwa kuwa maana shoo zetu ndo zimeanza

Binamu yangu mie [emoji122] [emoji122] [emoji7] [emoji7] tanteeeee
 
Na kwako pia maka kumbatia mto na msalimie geisha
Teh teh teh.. wanawake wote hawa mie nikatumie geisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] .. mie ni masikini wa pesa ila sio papuchi[emoji23] [emoji23] .. kukumbatia mto ni hiari yangu.. mara kwa mara napata mialiko ya kuikumbatia mizigo.. tena mizigo hasa(in kipozeoz voice)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Unapenda vyura eeenh
 
[emoji122] [emoji122] [emoji7] [emoji7] asante binamu unajua venye tunakupenda na anko wako

...najua sana mnanipenda na siku mlipokuja kwenye birthday yangu nilifurahi sana. nikawapiga picha wewe umekaa kwa mbalia na anko kwenye nguo zake za kipedeshee

anigif_enhanced-21940-1433451335-2.gif
 
Back
Top Bottom