makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,577
...hapa ni lazima tuweke tofauti maana kuna kilele cha Kilimanjaro na kunakukifikia kilele, sasa sijalewa nitaenda na maana ya kihistoria
Ni hiki hapa chini ...
na sio kilele kwa maana ya orgasm maana Ijumaa hii huwezi kujua mtu kaianza saa ngapi
Mpwawa bhana, we unataka kuniambia na ukubwa wote huo anashindwa kuandika mkwawa mpaka umuandikie wewe..Ni mpwawa au mkwawa?!
Mie japo nilifeli ila picha yake nilioona katika kitabu...alikuwa mtemi wa wapi huyu kweli?
Maana tunamjua Mkwawa wengine tuliofaulu mtihani wa darasa la nne
Teh teh teh.....asante kwa ufafanuzi, haya mambo ya kileleni bhana mtu kama mjomba wangu bila kumfafanulia hivi utamwingiza dhambini bure atataka kwenda kwa MC akamdadavue vizuri
Mind you, kumdadavua ni kumchimba ili aelewe yaani afike kileleni, am I making myself clear or what?
Mie japo nilifeli ila picha yake nilioona katika kitabu
Teh teh teh.. hii ni kali.. kwani simba anaogopa macho.. au ndio atahisi anaonwa anaonwa..
Teh teh teh.. hii ni kali.. kwani simba anaogopa macho.. au ndio atahisi anaonwa anaonwa..
Mzee wa mockingbird...
Kwahyo wakina shoziniga wanatuongopea!!?
Duh.. watu wanazisaka record arif..
Hahaa.. huyu alikuwa ana asili ya uzaramoni..
Hakuna mbaya kwa yote..
Hii inatufaa.. wafanye tuanze kuitumia..
....bora wewe uliona picha, mimi hata kusoma nilikuwa sijui, wakanirudisha la pili ila nikawa nasoma na wa la kwanza ndo baadaye nikafaulu la nne. Niliona picha na nikasoma kumbe anaitwa Mtemi/Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga (1855–19 July 1898) aka Mkwawa
Nahis majukumu tuu mkuuJamani, rafiki yangu mkubwa Bitoz alipotelea wapi?
Morning shemelaMorning all kapuku