geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 2,311
- 2,889
Wewe kama kweri muhenga umetumia hamsini ya noti, umetumia shintano wewe kipindi hicho unapata vipipi vitano.Mkuu hilo jina beby boy ni la watoto tuheshimiane kidogo mi mhenga
Wewe kama kweri muhenga umetumia hamsini ya noti, umetumia shintano wewe kipindi hicho unapata vipipi vitano.Mkuu hilo jina beby boy ni la watoto tuheshimiane kidogo mi mhenga
Ha ha ha ha ha ha... Swahili sayings.... Ulusoma hicho kitabu?Uliza kwa wazee wa tanga watakwambia ni mambo gani
habari yako mkuuWewe kama kweri muhenga umetumia hamsini ya noti, umetumia shintano wewe kipindi hicho unapata vipipi vitano.
2 Wakorintho 4:18

2 Wakorintho 4:18
[18]tusiviangalie vinavyoonekana, bali visivyoonekana. Kwa maana vinavyoonekana ni vya muda tu; bali visivyoonekana ni vya milele.
MALALE SALAMA WANA WA BABA ALIYE JUU NAWAPENDA SANA MBARIKIWE![]()
Nqwe pia Obe BarikiwaUsiku mwema wadau wa nguvu.
![]()
Amina,asante Obe Mungu akubarikiUlale salama BH
![]()