Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Sawa mzee hewaNdio mungu alioniruzuku... Sasa wewe unataka kuingilia mambo ya Mungu?
Sawa mzee hewaNdio mungu alioniruzuku... Sasa wewe unataka kuingilia mambo ya Mungu?
Bibi yao yupo.... Ila sisi watu wa pwani hatufanyi intro ya wake zetu... Manake nyie vijana mkijua tu yule mke wa fulani basi wanawake wote hawafai tena anafaa yule mke wa Mtu.... Tunachukua tahadhari.Ha ha ha ha ha ha.

Unaenda wapi kaka hakuna njia hko
Unajua unawavunjia wajukuu zangu heshima... Kwamba babu yao ni babu hewa?Sawa mzee hewa
NawasubiriYaani wewe unawaambia wajukuu zangu wanawashwawashwa... Ngoja waje
Unaenda wapi kwa mfano?
Mkuu hilo jina beby boy ni la watoto tuheshimiane kidogo mi mhenga

Sawa mkuuBibi yao yupo.... Ila sisi watu wa pwani hatufanyi intro ya wake zetu... Manake nyie vijana mkijua tu yule mke wa fulani basi wanawake wote hawafai tena anafaa yule mke wa Mtu.... Tunachukua tahadhari.Ha ha ha ha ha ha.
Anaenda pwani kibahaUnaenda wapi kwa mfano?
Shemejiiii
Ndio mbona huwa wananiambia we ni babu hewa au unataka nikuambie nan huwa anasemaUnajua unawavunjia wajukuu zangu heshima... Kwamba babu yao ni babu hewa?
Njia ipo naenda simambwe hapo juu kwenye baridi KaliUnaenda wapi kaka hakuna njia hko
Wanakuambilia wapi?Ndio mbona huwa wananiambia we ni babu hewa au unataka nikuambie nan huwa anasema
Tunako onana naoWanakuambilia wapi?
Kumtafuta bibiUnaenda wapi kwa mfano?
Sawa utuletee kabegiNjia ipo naenda simambwe hapo juu kwenye baridi Kali
Bora umekuja mjukuu wake sema neno hapa