Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndio mungu alioniruzuku... Sasa wewe unataka kuingilia mambo ya Mungu?
Bibi yao yupo.... Ila sisi watu wa pwani hatufanyi intro ya wake zetu... Manake nyie vijana mkijua tu yule mke wa fulani basi wanawake wote hawafai tena anafaa yule mke wa Mtu.... Tunachukua tahadhari.Ha ha ha ha ha ha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom