shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Tubarikiwe sote
Asante Obe Ubarikiweb
Tubarikiwe sote
Asante Obe Ubarikiweb
Morning shemejiMorning all kapuku
Asante kwa magazeti shemejiView attachment 600244Sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho muda na wakati kama huu, jumatatu njema makapuku wote
AminaZaburi 126
1 BWANA alipowarejeza mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.
2 Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema katika mataifa, BWANA amewatendea mambo makuu.
3 BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi.
4 Ee BWANA, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini.
WIKI NJEMA,JUMATATU NJEMA SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
Tunamshukuru Mungu ...ametuamsha salamaNatumaini wote mmeamka vizuri
Habar yako dadaTunamshukuru Mungu ...ametuamsha salama
Morning shemeji, za mbeyaMorning shemeji
Pamoja sana shemejiAsante kwa magazeti shemeji
We endelea kujenga taifa mi nitakuja kuezekawakuu kumekucha salama ? Namshukuru mwenyezi Mungu j3 imeanza salama japo nawamis ila ni majukumu ya kulijenga taifa
Tuko pamoja sana Lee empirewakuu kumekucha salama ? Namshukuru mwenyezi Mungu j3 imeanza salama japo nawamis ila ni majukumu ya kulijenga taifa
Tu wazima kabisashululu na Tumosa nawasalimia
Si mabingwa wateteziTuko pamoja sana Lee empire
Pole kwa kipigo cha juzi