Morning Mkuu Shululu UbarikiweMorning all kapuku
Amina asante kunishirikisha Mungu abariki kipindi hiki cha magazeti....haleluiyaTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji

Morning mama mchungajiMorning Mkuu Shululu Ubarikiwe
Uwe na week njema jumatatu njema na siku njema mkuu Shululu Mungu akubarikiView attachment 600244Sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho muda na wakati kama huu, jumatatu njema makapuku wote
Zaburi 126 
Amen mama mchungaji, Asante kwa neno la uzimaZaburi 126
1 BWANA alipowarejeza mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.
2 Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema katika mataifa, BWANA amewatendea mambo makuu.
3 BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi.
4 Ee BWANA, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini.
WIKI NJEMA,JUMATATU NJEMA SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
Pamoja sana mdau ObeAsante sana shululu kwa magazeti
Shukrani BlessedHope kwa sala ya asubuhi.
Jtatu njema Makapuku wenzangu
Tubarikiwe soteAmen mama mchungaji, Asante kwa neno la uzima
Ubarikiwe sana
Asante Obe UbarikiwebAsante sana shululu kwa magazeti
Shukrani BlessedHope kwa sala ya asubuhi.
Jtatu njema Makapuku wenzangu