Mkuu shem mzma!Huku burudani tu
Karibu sana ukapukuni.Eebwana ni murua
Atanisumbua na nini kwa mfano?? Acha auze nyumba heshima iwekwe barZikiisha atakusumbua achana naye
Mzima kabisa. Hofu kwakoMkuu shem mzma!
Nini hiyo![]()
Nilikuwa natafuna hii kitu tamu nikasahau hadi kuchat
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
................,.....
Unazingua brother,sasa unategemea sisi weekend tutaishije kama umeanza kuleta magumashi.Wewe mbona majungu tu
Unazingua brother,sasa unategemea sisi weekend tutaishije kama umeanza kuleta magumashi.Wewe mbona majungu tu
KabisaHuwezi jutaaaa
Ile kitu dini Fulani hairuhusuNini hiyo
Ni kweli mkuu mende watamu sana,unaweza kumeza hata ulimi.![]()
Nilikuwa natafuna hii kitu tamu nikasahau hadi kuchat
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
................,.....
Ni jambo la kushukuru tunapo pata fursa ya kukutana hapa kijiweni tukiwa na Afya tele...
AmenUvivu umaskini wako, iko poaEnjoy........ Bidii yako ndio mafanikio yako
Kwani bila mimi wikiendi haiendi auUnazingua brother,sasa unategemea sisi weekend tutaishije kama umeanza kuleta magumashi.
Mzima kabisa. Hofu kwako

Nimekusoma. Huku kwetu ilikuwa mia nane tu. Sijajua kwa sasa hiviIle kitu dini Fulani hairuhusu
Uswaz unakula kuanzia buku tu
............
Ntamuonyesha jinsi ya kutumia pesa tu na sio zaidi ya hapoMbona waona hizo ni ndoto!
Hivi kuuza kale kajumba cha 27ml ndo waringa nacho, ngoja jimena akufundishe mji
Nishatia timu kitamboKaribu sana ukapukuni.