amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Ahsante sana. Ndgu mwenye kitiWala hujachelewa karibu sana katika familia hii
Karibuuuuu
Thanks So much my dear...Wacha niitie mguu wa mbuzi choma tukae kwa kutulia kabisa...Niaje lakini?
Kuwa huru. Mdogo mdogo utazoea tuAhsante sana. Ndgu mwenye kiti
Asante shemejiKaribuuuuu
Check usafiri kidogo na vijumba hayo ni manyunyu tuWe najua huna pesa nyingine zaidi ya sadaka.
Karibu sana na kwa kuanzia tu kumbuka kutoa like kwa makapuku wenzio ili upewe likeNimechelewa kidogo ndugu mwenyekiti, na wajumbe wote si mnajua tena mtaa tunayo kaa, nimekuja na trot kama mnavoona mijasho kibao, tuko pamoja nahitaji suport yenu.
Hii nikwa mtu maalumu ama vp
Dada nakusikiliza tu hapa...Ukitoa moja unapewa moja hiyo ndio hali halisi kwa sasa
Kwema wangu..Thanks So much my dear...Wacha niitie mguu wa mbuzi choma tukae kwa kutulia kabisa...Niaje lakini?
Thanx my wii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Enjoy
Nafarijika sana kuwepo hapaKaribu sana na kwa kuanzia tu kumbuka kutoa like kwa makapuku wenzio ili upewe like
Jisikie huru kuchangia na kufurahi pamoja nasi
Peace and love
Shaka ondoaNimechelewa kidogo ndugu mwenyekiti, na wajumbe wote si mnajua tena mtaa tunayo kaa, nimekuja na trot kama mnavoona mijasho kibao, tuko pamoja nahitaji suport yenu.
Zikiisha atakusumbua achana nayeYe anauza nyumba ili anialike lunch![]()
![]()
![]()
Ye anauza nyumba ili anialike lunch![]()
![]()
![]()
Atakuwa mlinzi kwa aliyenunuaHahaha atalala nje
Full burudaniShaka ondoa
Yah..It's Furahi day...Jiachie utakavyo my my mi nipo kwa ajili yako ukimwaga kinywaji cha mtu nalipa, Mtu akikuzingua nampa Nakoz..Na ukitaga kuanguka nitakuwa hapo kwa ajili yako...Unataka nini tena my dear?Kwema wangu..
Friday is here so ni full shwangweeee