manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
My dear...
My dear...
Kweli kabisa,natumai shemeji amazing yuko poa kabisa.Ni jambo la kushukuru tunapo pata fursa ya kukutana hapa kijiweni tukiwa na Afya tele...
Mbona waona hizo ni ndoto!Sawa mkuu wewe endelea kuishi ndotoni.
Wenzako tumeamka kitambo sana.
Nashukuru kwa mwongozoOhooo nenda taratibu huyo sio mzee
Shemeji ndiyo maana kila siku huwa niko upande wako hapa maana najua kati ya vijana waliobaki wakiwa na nidhamu zao...Upo kwenye list...Wacha tumuulize wife amaizing kama ataridhia..hakuna shida...Naomba hiyo kazi brother.
Unajua kabisa huku mtaani watu tumechoka mbaya.
Nimetangua kauli, swalama lakinAssante shemeji
Me ni meshndwa kimjibu
Hahahahahah Mumy nakukubali sana unafit pande zote...Akizingua unazingua mara mbili....Assante shemeji
Me ni meshndwa kimjibu
Brother mimi kuuza kajumba ka Tsh million 50 naona kama nauza biscuits,namshangaa huyu kijana Th Name kuvunja kibubu tu anaona kama anauza figo.Mbona waona hizo ni ndoto!
Hivi kuuza kale kajumba cha 27ml ndo waringa nacho, ngoja jimena akufundishe mji
Mzee wa itifaki...Ohooo nenda taratibu huyo sio mzee
Fisi aachiwe bucha!Naomba hiyo kazi brother.
Unajua kabisa huku mtaani watu tumechoka mbaya.
Ugeni ndgu yangu si kitu chemaHahahahahah Mumy nakukubali sana unafit pande zote...Akizingua unazingua mara mbili....
Nimetangua kauli, swalama lakin
Huku burudani tuNikwel
Nipo kakaake sema wikiend nayo inasumbuaDada nakusikiliza tu hapa...
Huwezi jutaaaaHuku burudani tu
Mchungaji mbona unaharibu hali ya hewa tena.!!!Fisi aachiwe bucha!
Enjoy........ Bidii yako ndio mafanikio yakoNafarijika sana kuwepo hapa