Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Chairfire hicho....hayo ni maini tuNi kweli mkuu mende watamu sana,unaweza kumeza hata ulimi.
................
Chairfire hicho....hayo ni maini tuNi kweli mkuu mende watamu sana,unaweza kumeza hata ulimi.
Ondoa shaka huku hakuna superstar kila mtu ni sawaNdugu makapuku wenzangu napenda nitoe pongezi za dhati kwa founder wa uzi huu, pia kwa member wote, naahidi nitakuwa member mtiifu
Sawa mkuu.Ndugu makapuku wenzangu napenda nitoe pongezi za dhati kwa founder wa uzi huu, pia kwa member wote, naahidi nitakuwa member mtiifu
HeulahOndoa shaka huku hakuna superstar kila mtu ni sasa
Post # 3 muhimu sana kaipitie
.....................
Tunajusanya pesa za kutumbua mkuu,yani umebaki wewe tu.Kwani bila mimi wikiendi haiendi au
Hata mi nilitaka kujua kuwa hicho ni nini???Nini hiyo
Nipo jamviniSawa mkuu.
Karibu sana.
MmhhhhEnjoy my dear...Na ukihitaji mlinzi usisite kuna vijana wengi hapa nikiasi cha kusema tu..Oya nenda kule na Shemeji yako...
tuA. K. A mduu ni shigdaChairfire hicho....hayo ni maini tu
![]()
![]()
![]()
![]()
................
Mbuzi katolikiHata mi nikitaka kujua kuwa hicho ni nini???
Swalama kabisaaaNimetangua kauli, swalama lakin
Nipo njia na shemeji yako tunakuja kutumbia maana hakuna namnaTunajusanya pesa za kutumbua mkuu,yaniumebaki wewe tu.
Kijana anazingua.Ha ha ha hii comment ni shiiiida
Usimsikilize....... Tumia pesa ikuzoweeUnazingua brother,sasa unategemea sisi weekend tutaishije kama umeanza kuleta magumashi.

Natambua uwepo wakoSwalama kabisaaa
Hapo sasa nimekuelewa.Nipo njia na shemeji yako tunakuja kutumbia maana hakuna namna
Usijali brotherHapo sasa nimekuelewa.