Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwanza hongereni kwa kujiweka kwenye ramani ya JamiiForums
Hata likes zinazoongoza kwa sasa ni za makapuku
Bahati mbaya post bado mko nyuma sana....kwahiyo basi kuweza kubaki kwenye track na kupanua wigo wa ushiriki wetu ndani ya jf tujitahidi kutoka kwenye uwanja wetu na kwenda kucheza mechi za ugenini ili kudhihirisha umahiri wetu
Tuwe na post mpya kwenye majukwaa mengine na hata picha zetu tusizijaze pale tuzipeleke kule photos
Msinichukie nawapenda sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom