Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mara 100 hiyo makaeti my love hata pm kwake hujui papo hivi au hujui anafananaje hata jina lake hujui zaidi ya kujua la jf la I'd fake
Husobe
Mara 100 hiyo makaeti my love hata pm kwake hujui papo hivi au hujui anafananaje hata jina lake hujui zaidi ya kujua la jf la I'd fake
Nyiee mnawateta baba na jjEehh.. sisi tunajisemea tuu..![]()
![]()
Embu aisee na mimi nisikieHahaha
Natamani nikuimbieeee
Mambo pouwa kabisa.Fresh, mishe vip kiongozi.
Marahabaaa shemela wangu, za kwakoShemela wangu mie apa shikamoo jaman
Safi shemela za wewe apooo nimekumiss tu mimiMarahabaaa shemela wangu, za kwako
Na ndio maana anatujua hututusabuniUtakuwa wewe ni muumin wa gest sana![]()
![]()
![]()

Umesahau tuu ni wimbo mmoja wapendwa kweeeliUtakuwa umefanya la maana ujue ebu niimbie
Nzuri kabisa shemela wa mimi, naona majukumu yamekubanaSafi shemela za wewe apooo nimekumiss tu mimi
Kwema tuu nduguUmemaanisha mimi auuu?
Kitambo humu kwema bandugu
Umeanza eeehh
Acha tu shemela wangu nikipata mda kama hivi naingia tunaonana kama kawaida ila nawamiss tu kiukweliNzuri kabisa shemela wa mimi, naona majukumu yamekubana
Wasap ipi sasaCheck whatsapp..
3.4 MB
Yule nahisi atakaza anaonekana ana njaa ya kufika mbali.. akifeli ujue maish ndio yamemuamulia.Hata mwenzie Samatta nina wasiwasi nae.
Sauti yangu ni sheeedaa.... Mtajaa pmEmbu aisee na mimi nisikie