Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Sijakuzoea hivyo ujue si kwa jibu lile mke mweeNmeandika mwenyewe mke mweee kwan vp
Sijakuzoea hivyo ujue si kwa jibu lile mke mweeNmeandika mwenyewe mke mweee kwan vp
Asante shem[emoji524]ZABURI 91
5.Hutaogopa hofu ya usiku,wala mshale urukao mchana.
6.Wala tauni ipitayo gizani wala uele uharibuo adhuhuri.
MUNGU AWABARIKI USIKU MWEMA MLINDWE NA DAMU YAKE SHUNIE ANAWAPENDA TUU ILA ANAMPENDA BABA D ZAIDI...[emoji1374][emoji1374]
Shkamo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mb tatizo ujue ebu nitumie voice kuhusu hiyo nyimboDaaaah
Najioona ndani ya huyu dada.... Sauti ka ya Sakayo kabisaa.... T acha nikupende
Kwema kabisa mkuuWakuu kwema humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
[emoji120] [emoji120]Asante shem
Ringtone yangu hiyo ujue..Daaaah
Najioona ndani ya huyu dada.... Sauti ka ya Sakayo kabisaa.... T acha nikupende
MarahabaShkamo
HahahaMb tatizo ujue ebu nitumie voice kuhusu hiyo nyimbo
Utakuwa umefanya la maana ujue ebu niimbieHahaha
Natamani nikuimbieeee
Amen[emoji524]ZABURI 91
5.Hutaogopa hofu ya usiku,wala mshale urukao mchana.
6.Wala tauni ipitayo gizani wala uele uharibuo adhuhuri.
MUNGU AWABARIKI USIKU MWEMA MLINDWE NA DAMU YAKE SHUNIE ANAWAPENDA TUU ILA ANAMPENDA BABA D ZAIDI...[emoji1374][emoji1374]
Shemela wa mimi apaMb tatizo ujue ebu nitumie voice kuhusu hiyo nyimbo
Kama sie tunavokulana et[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bongo za humu si mchezo ndio mana hutaki shida mnatamanishana tu jukwaani acha tu me baba d wangu tuendelee kuchunguliana na kulana aisee bongo movie tuwaachie wenyewe na usanii wao raha ya kuitana babe, bae, my love, mkulane buana
Fresh, mishe vip kiongozi.Good sana mkuu.
N ajee
Shemela wangu mie apa shikamoo jamanShemela wa mimi apa
Ewaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama sie tunavokulana et[emoji23]
DaaaahRingtone yangu hiyo ujue..
Hahaa...maka we ni mwisho yaan nakuvutia tu picha unavyowabadili badili [emoji114] [emoji114] [emoji114]