Ngoja tumsubiri the bossSasa umeanza kuongea point....... Mpaka kieleweke wikiendi hii
Lakini brother si leo tu.Akiba muhimu tukumbuke pia
Ndio LeoLakini brother si leo tu.
Utaweka nyingine jtatu.
Mbona hujanishtua niinunue kaka!Nimeuza haka kajumba ka urithi maana kila nikiangalia umri unaenda na muda wa kula bata unapita.
Unazingua....Ndio Leo
Buheri wa afya..... Habari ya wikiend

Hahahahah yamekuwa haya tenaUnazingua....
Sasa akiba unaweka ya kazi gani!,mbona unakuwa kama mzee?
Kaka manuu upoPamoja sana...
Shem langu uko poa!!!!??
We najua huna pesa nyingine zaidi ya sadaka.Mbona hujanishtua niinunue kaka!
Nawe sion signature yako kwangu umeanzaThen rudi nyuma utembezekote ulikopita kimya kimya
???Ukitoa moja unapewa moja hiyo ndio hali halisi kwa sasaNawe sion signature yako kwangu umeanza![]()
![]()
![]()
???
OhooooWe najua huna pesa nyingine zaidi ya sadaka.
haya yote yana washirika 1500@3=4500Nimechelewa kidogo ndugu mwenyekiti, na wajumbe wote si mnajua tena mtaa tunayo kaa, nimekuja na trot kama mnavoona mijasho kibao, tuko pamoja nahitaji suport yenu.Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukrani kwake sana.
Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
Mama mkubwa
Thoomas
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee
Nafsi huru
hassandady
Shemtibuko
sumbai
mabesela
dog 1
aggyjay
Elly_corner
Teacher on duty
willy fredy
PNC 1
jambilo
Powder
Mussolin5
xavia jr
Amenn
Madame S
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
Mkuu niko hewani sasa...Kaka manuu upo
Wala hujachelewa karibu sana katika familia hiiNimechelewa kidogo ndugu mwenyekiti, na wajumbe wote si mnajua tena mtaa tunayo kaa, nimekuja na trot kama mnavoona mijasho kibao, tuko pamoja nahitaji suport yenu.
Hahaha atalala njeYe anauza nyumba ili anialike lunch![]()
![]()
![]()