Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimeuza haka kajumba ka urithi maana kila nikiangalia umri unaenda na muda wa kula bata unapita.
Sasa kama ni kajumba hela itatosha kweli?? Manake si tuliuza Jumba na pesa ilitosha kwa siku moja tu sasa hizo si zitaishia kwenye nauli tu[emoji134] [emoji134]
Aione na Zamaulid labda ataongezea chenji iliyobaki lol
 
Basi hamna shida mimi nitagharamia nauli.
Ngoja tumsubiri Th Name alisema anavunja kibubu weekend.
 
e678973c496bc076731867224d106b29.jpg
 
Back
Top Bottom