Aka werrasonJitahid mara moya moya..![]()
![]()
Nimemkumbuka msela wangu mkongo mani..![]()
![]()
![]()
Kikofia au jonaxNa yule mpiga puli maarufu!
Niambie my swi TumosaMy sweetheart
....oh, yote uliyoandika yapo, na zaidi. Labda kama unapenda yaletwe na walewale kwa mtindo uleule.
Kuna Magazeti , UF/BBC, Historia, Je wajua, muziki, Upuuzi wa Lee, Sala na Nukuu za Nguvu.
Kuna kitu umekikosa mdau?
Kupiga!!? Umeniacha eneo la kuwangia(njia panda)
Kwa majina tu hujambo
Karibu tena
Tupoo..Jamani wapenzi na msio wapenzi humu jukwaani mko poa
Jonax..Huyu janmaa alikua anatumia jina gani..ubongo..
Ndio masikio yale yameparama kusikia hilo jambo.. atafurahiaje..Husna na Obe

Mkushi wa kusi.Ni fresh Eden
Tuseme inshaallahAliaga kwamba ana majukumu mengi yatakapopungua tutamwona hapa
Kwenye ubora wake alikuwa hatar huyu fundi, na kinachomuongezea sifa ni loyalty kwa a.s roma
Karibu sana baba watotoNipo njiani narudi nyumbani mtima wangu![]()
![]()
![]()
Shemela,mambo!Tupoo..
Hazard..