Makapuku Forum

Makapuku Forum

1856 - Karl Peters, mwanzilishi wa koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani alizaliwa

.....kina mangungo wa Usambara na mfalme wa Uganda wanamjua vizuri sana maana aliwasomesha wakasoma bila kujua lolote wakasaini alichotaka kiwe. Mwaka 1891 alichapisha chapisho lake liitwalo New Light On Dark Africa
41743-004-884AF0E0.jpg
 
Na huo ndio mwisho Wa Leo katika historia tukutane kesho nami yule yule mpendwa Wa obe na mke mweza wa mama mchuchu


kapuku mwenzangu chukua hii" jifunze kutabasamu hata km una hasira hata km una njaa hata km .......get smile

Team smile

Husobe


...asante sana mpenzi wangu wa nguvu, hilo ndo nalijua na unalijua mengine chai tu. Asante kwa kuweka tabasamu usoni kwangu kila wakati

1135.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom