makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,953
- 104,340
Hawez kuwa kipa wa arsenal..Kipa wa arsenal
The book!! Ariiif, long time mwanangu karibu sana.. duh kama nikupe bonge la hug mixer yowe kubwa la kuzima kelele za kariakoo shimoni.Mkuu Invisible Jamii Forums Paw Mod 2 Moderator naomba mnirudishe enzi zile zangu,lile jina la The Book bado nalikumbuka sana,naomba sana mtumie vidole na macho yenu kuedit "Ubongo Mpana" kuwa "The Book"
Mie nishakukumbuka chalii angu..Sijui wangapi mnaikumbuka hyo avatar niliyoweka now!
Bitoz hamna mwenye habar zake, ila niliporud nilimkuta.Hata Bitoz na yeye kaingia mitini?
Waooooh.The book!! Ariiif, long time mwanangu karibu sana.. duh kama nikupe bonge la hug mixer yowe kubwa la kuzima kelele za kariakoo shimoni.
Anetaka kunipiga ajipange.. mie sisumbuki na ngumi ni mwendo wa manati ya mzungutu, yanin tusumbuane tutoane jasho wakat wazungu wameturahisishia, nakupiga za miguu tutakutana mahakamani..

Kweli kwichi kwichi haina mwenyewe...![]()
![]()
huonagi kuku wanavyokimbizana?!Enzi za hicho kibuzi malika kitazame kinavyojitingisha.. hee mambo ipo huku..
![]()
![]()
![]()
![]()
ulikuwa LA ngapi hapo?!Aliaga kasema amebanwaHata Bitoz na yeye kaingia mitini?
Bitoz hamna mwenye habar zake, ila niliporud nilimkuta.
The book!! Ariiif, long time mwanangu karibu sana.. duh kama nikupe bonge la hug mixer yowe kubwa la kuzima kelele za kariakoo shimoni.

Aliaga atabanwa ila sijajua kwa mda gnBitoz hamna mwenye habar zake, ila niliporud nilimkuta.
Ooooh tuwekee top ten mkuuKF ilikuwa moto kipindi kile,yaan ni bandika bandua,Magazeti ya Jimena,historia ya dikteta ,picha za bitoz,top ten ya kitabu.Pengine nyakati zinaweza kujirudia!
Ooooh tuwekee top ten mkuu
Karibu joh.. hope top ten ya the book itarudi kw hewa.Waooooh.
Ahsante sana mkuu,im back again!