Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Bado mfano mwengine hapooMfano mwingine tumosa na jiran yangu shululu, wamejikaza bhna.
Bado mfano mwengine hapooMfano mwingine tumosa na jiran yangu shululu, wamejikaza bhna.
uko poa shemela wanguShemela wangu moneytalk
Husna na ndugu yangu obe...Bado mfano mwengine hapoo
Atakuwa mzaramo huyu dogo maana sio kwa mineno hiyo kah!
Aahh.. kumbe we umesema totti fala kwa kiswahili ndio maana hawajakufanya lolote, hujapewa hata soda..
Fala kiitaliano ni shujaa![]()
![]()
Kwahyo hapo umesema totti ni shujaa![]()

We utakuwa unaizungumzja roma catholic iliyopo pale mchikichini.. sio roma italia..![]()
![]()

Dah ebbhana eeh, ndio hvyo, hata mie nilivyotoka na kurud sijawakuta ndugu zangu, ila sio kesi sana, quigley niliwasiliana nae jana aliniambia sote tulimkimbia na akayeya, sweetpie ametoka kabisa wengine nahis majukumu ya kila siku.Kuna nyakati nazimiss sana hapa KF,nyakati ya jonax,bitoz,werasson,jimena,quigley,sweetiepie na wengine...
Kila nikija namkuta shululu tu...
![]()
![]()
Vilikuwa vibwege... Vikasain mikataba ya kijinga jinga..
afadhali tumepata hadithi za kusimulianaNiko poa kabisauko poa shemela wangu
NzuriWakuu,habari za muda.
Nimekuja kuwasabhahi...
....even meI hate that...
Hatupindishi mambo..Looo makavu liveee bila chengaaa
Kauzuuuu.....zaidi ya dagaa

Kwichi kwichi..Ili mpige pushapu![]()
Mmmh hayaa banaaAahh.. kumbe we umesema totti fala kwa kiswahili ndio maana hawajakufanya lolote, hujapewa hata soda..
Fala kiitaliano ni shujaa![]()
![]()
Kwahyo hapo umesema totti ni shujaa![]()
Teh teh teh.. mapenz ya mwanzo mwanzo mtabadili chaga kila wikiyes honey, bt natamani ungekuwa karibu yangu muda huu

Hata mimi nilipotea kwa muda mrefu,,,,pengine nao watarudi at any time!Dah ebbhana eeh, ndio hvyo, hata mie nilivyotoka na kurud sijawakuta ndugu zangu, ila sio kesi sana, quigley niliwasiliana nae jana aliniambia sote tulimkimbia na akayeya, sweetpie ametoka kabisa wengine nahis majukumu ya kila siku.
familia haijamboNiko poa kabisa
Kumradhi kitumbua si andaziNtake radhi wee mwali.