Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu wewe si hukutaka nijueee ....na mm nimetonywa na kilichotokeaa jana kabla ya kuingia nimejuzwaaa....

Hivi ukija kukatwa mapanga kijijin nasemajeee

...mbio zangu mapanga hayafai labda mishale. Ila anko unatisha yaani isingekuwa ile kinga ya babu sasa hivi sijui ungekuwa umeshanasiana mara ngapi? yaani kanda ya kaskazini hunasuki kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom