shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Nzuri kabisa shemelasafi kabisa, za kwako
Nzuri kabisa shemelasafi kabisa, za kwako
[emoji3] [emoji3] [emoji3].....mwenyewe najishangaa, sijui wananipendea nini? Itabidi tupige ramli
Asante shemela, nawe pia asubuhi njemaNawasalimu tu mimi muwe na asubuhi njema mbarikiwe [emoji120]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Shunie yupiii huyo aliyekubaka etiiii
1849 - Ivan Pavlov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa1904 anazaliwa
Naona tumefanana majinaWa Vingungutii
Kimara
HBD Archibald1886 - Archibald Vivian Hill, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tibamwaka wa 1922 alizaliwa
HBD Winnie1936 - Winnie Madikizela-Mandela, mke wa kwanza wa Nelson Mandela alizaliwa
Hapana shemela jaman nawasalimu tu mimi hivi hivyo ni kwa mbali kweliiiAsante shemela, nawe pia asubuhi njema
Lakini mbona leo Salam inatolewa kwa mbali hivyo shemela
Nauliza shemela ujue[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Haya shemela wangu wa ukweli, lakini sio kawaida yakoHapana shemela jaman nawasalimu tu mimi hivi hivyo ni kwa mbali kweliii
Ndio maana nimesikitika shemelaNauliza shemela ujue
Acha tu shemela ndio uone vijana na matani yao hawajui kama wengine tunaweza kuwazaa hizi avatar fake zinawadanganya sanaNdio maana nimesikitika shemela
Hapana shemela wangu usijal uwe tu na amani zote [emoji120]Haya shemela wangu wa ukweli, lakini sio kawaida yako
1886 - Archibald Vivian Hill, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tibamwaka wa 1922 alizaliwa