makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,486
Mwenye akili hawez lalama ikiwa mjinga ndio aliwae..Mmmmmh hii ngumu kumezaa
Ngumu zaid ya ugumu wenyewe.
Mwenye akili hawez lalama ikiwa mjinga ndio aliwae..Mmmmmh hii ngumu kumezaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hhmm.. sijui shetani gani ampitie shunie mpaka atende hv.
Mikono ipiiiiNaskia jamaa ni andunje wa mikono.. mikono yake ni dwarf.[emoji23] [emoji23]
Hhmm.. sijui shetani gani ampitie shunie mpaka atende hv.
Hayo ndo mamboSahau sisi kuachana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha hahahahaha, manyunyu kwetu kwa sisimizi ni mafuriko, nimeipenda hii.
Nitawapa chao ngoja nikakope ili nilipe deni, raha ya manyunyu usiwe na nguo chafu
Binamu kila kituuu swadaktaaaaaa...anko, vipi!
Baada ya kukamilisha ile deal, je ile nyingine imewasili au unaisikilizia kwanza
Muulize obe, anajua binamu yako.Mikono ipiiii
Ahahahahahaha ....Mm mwenyewe sijui..Ila nilisikia kua lee anapiga show za mchangani hawez uwanja wa taifa..
Binamu kwanza kalala kwa mchepuko wake hawez nijibuuuMuulize obe, anajua binamu yako.
Changanya akili ya kuelezwa na unachokifahamu vyema..Mm mwenyewe sijui..Ila nilisikia kua lee anapiga show za mchangani hawez uwanja wa taifa..
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sahau sisi kuachana
Sasa wewe mbona umeenda huko na kulala bila kunambia nikaweka mambo sawaa....itakuwa mikono ya sweta, maana na hili baridi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] una magoma mawili.. wanajuana, shunie anajua kama una mke wa pili..!?Ahahahahahaha ....
Ila tambua show zangu ndo zinafanya nimilikii wake 2
Morningmorning shemela
Ahahahahahaha ....
Ila tambua show zangu ndo zinafanya nimilikii wake 2
Hahaa... Napenda vijana kama hawa, akirud mwambie anywe juice ya tende bill juu yangu.Binamu kwanza kalala kwa mchepuko wake hawez nijibuuu
Shemela za wewe hapomorning shemela
Mbona kila mtu humu anajuaaa....[emoji15] [emoji15] [emoji15] una magoma mawili.. wanajuana, shunie anajua kama una mke wa pili..!?