Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hivi ngoja nikuulizeew...mfanoo kisingelikuwepooo au kitu kipo usoniii ....nipe maono yako
Hapo awali alipoumbwa hawa hakikuwepo, ila mungu akakiweka ila faza adam apate raha duniani, na kumbuka adamu alikuwa katika bustan ya eden moj kati ya bustan za peponi, ila still papuchi ilikuwa muhimu zaid

Mungu ni mwerevu mnoo, werevu wake hauna mipaka, ngumu sana kuweka jambo hilo mahala pa wazi..
 
Umenena vyemaaa.....hivi mapadre huwa hawatumii kweliii??
 
Tena ni la kufulia suti za anko magu.

...zile suti huwa zina mikono ya kanzu yaani akitaka kula lazima akunje kama anataka kupigana zile ngumi zenu vijana

Kumekucha Makapuku, asante shululu kwa magazeti, asante wote mlioniamsha na kunikumbusha kuwa mwisho wa mwezi umefika,

Wenye wanaonidai sijawasalimia wahanipa Hi nyingi nyingi
 
Umenena vyemaaa.....hivi mapadre huwa hawatumii kweliii??
Hhmm.. kwa kweli siwez kusemea nyoyo zao, mimi ni muislam nikiongea yawezekana ikaonekana ni shutuma, ila ninachoamin, wao ni binadamu kama sisi, wapo wanaoteleza na kwenda kuosha rungu, penye mia hapakosekani watiifu, inawezekana wakawepo watulivu.., ila tukumbuke wao si malaika ni binadamu kama sisi

Ila sidhan kama wanayaweza maana mie naijua shughuli ya huyu mbeba jina la mtu, akichachamaa anataka vyake.. ugwadu ukiwa umejaa kwenye balls, wee patamu hapo.. uchupa si mchezo. , mie ndio maana nafanya masihara kote ila sio kwenye kwichi kwichi..
 
...zile suti huwa zina mikono ya kanzu yaani akitaka kula lazima akunje kama anataka kupigana zile ngumi zenu vijana

Kumekucha Makapuku, asante shululu kwa magazeti, asante wote mlioniamsha na kunikumbusha kuwa mwisho wa mwezi umefika,

Wenye wanaonidai sijawasalimia wahanipa Hi nyingi nyingi
Wanataka vyao, ila sio kesi wape tuu, yasije yakawatoka ya rohoni, huwez jua hali zao kimifuko, maana manyunyu ni kwetu kwa sisimizi ni mafuriko.
 
...zile suti huwa zina mikono ya kanzu yaani akitaka kula lazima akunje kama anataka kupigana zile ngumi zenu vijana

Kumekucha Makapuku, asante shululu kwa magazeti, asante wote mlioniamsha na kunikumbusha kuwa mwisho wa mwezi umefika,

Wenye wanaonidai sijawasalimia wahanipa Hi nyingi nyingi
Naskia jamaa ni andunje wa mikono.. mikono yake ni dwarf.
 
Hhmm.. kwa kweli siwez kusemea nyoyo zao, mimi ni muislam nikiongea yawezekana ikaonekana ni shutuma, ila ninachoamin, wao ni binadamu kama sisi, wapo wanaoteleza na kwenda kuosha rungu, penye mia hapakosekani watiifu, inawezekana wakawepo watulivu.., ila tukumbuke wao si malaika ni binadamu kama sisi

Ila sidhan kama wanayaweza maana mie naijua shughuli ya huyu mbeba jina la mtu, akichachamaa anataka vyake.. ugwadu ukiwa umejaa kwenye balls, wee patamu hapo.. uchupa si mchezo. , mie ndio maana nafanya masihara kote ila sio kwenye kwichi kwichi..
Mmmmmh hii ngumu kumezaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom