Makapuku Forum

Makapuku Forum

1897 - Mwenye heri Papa Paulo VI (kwa jina la Giovanni Battista Montini) alizaliwa
Paul_sextus.jpg
 
...tuzo hii katika Tia aliipata mwaka 1904 na anakumbukwa hadi leo kwa kuangalia ushawishi wa mazingira na tabia tulizonazo katika kujifunza. Alimtumia zaidi mbwa kwenye tafiti zake na moja ya matokeo makubwa yanayokubalika hadi leo ni kuwa mazingira humfanya mtu afanikiwe au asifanikiwe.

na kwa wanafunzi au watumishi, ukimpongeza na kumfanya ajione anaweza basi mafanikio hayaepukiki

ivan-pavlov-birthday.png
Asantee
 
Leo nikutie moyo kidogo kuchagua wokovu umechagua fungu jema

Lakini kuna changamoto ktk wokovu LAKINI hizo changamoto usiogope Bwana yu pamoja nawe
MATENDO 6:8-15
Huyu ni Stephano aliyejaa imani akapigwa mawe lakini yy hakuangalia mawe alimuangaliya Yesu wakamsingizia kua huyu anakufulu lakini yy hakuangalia kusingiziwa kwake alimuuangalia Yesu walikusudia kumuua lakini yy hakuogopa kufa alimuangalia aliye muita
Leo hii yawezekana na ww wanakutupia mawe ktk huduma yako wamekusemea mabaya juu ya huduma yako hayo ndio mawe wamekusingizia mengi wamekudhihaki wamekutukana wamekukejeli nia yao tuu wakuue kiroho waue huduma yako
Waue wokovu wako hawapendi unamtumikia Mungu wamekulushia mwe ya magonjwa Leo hii nikuambie usiogope ww mwangaliye aliye kuita aliyemwaga damu yake msalabani kwa ajili yako mwangaliye aliye na sehemu ya kukupeleka usikate tamaa usiumize kichwa kwa ajili ya maajenti wa shetani wanaharibu ndoa yako sikiliza shida yao sio ndoa yako shida yao ni huduma yako LAKINI jioni hii nikuambie neno moja tu usiogope yupo yy awezaya kupiga maadui zako huyo ndie unaepaswa kumwangalia huyo ndie msaada wako hao achana nao

Ktk
YEREMIA 1:19 anasema watashinda nawe hawatakushinda maana yupo pamoja nawe akuokoe unaogopa NINI sasa
Eti unakata tamaa kwa ajili ya watu kwa ajili ya mashetani kwa ajili ya ndoa yako hao ndio daraja lako LA kukupandisha viwango hadi viwango hao ndio mtaji wako hao ndio mafanikio yako hao ndio ushindi wako Yesu amesema hawatakushinda maana yupo pamoja nawe ili akuokoe usihuzunike yupo awezea kufungua milango yako iliyo fungwa ktk maisha yako kutokuelewa kwako kuna watu wanapigana usiku kucha ili usiolewe wala usioe wakisikia umeanguka ndio fulaha kwao unaposonga mbele kwao ni chuki wanapenda uwe hapo ulipo LAKINI nimalizie kwa kusema ukimtumainia Bwana watafedheheka wao ww utasonga mbele
Mbarikiwe sana na ujumbe huu muwe na asubuhi iliyo njema kwenu
 
HBD Michael Ballack


...unawajua viungo wenye nidhamu ya kukaba na kuzuia kwa mara moja, Mjerumani huyu alikuwa anajua na atabaki kuwa 'legend' si ajabu imu ya mtaani kwangu wakanibatiza jina la Mjerumani huyu. Ukitaka nuna lakini ndo hivyo, kwenye maisha yangu ya kusukuma gozi nikiwa kaa kungo nilipewa majina mawili maarufu, leo nakutajia la huyu

maxresdefault.jpg

german-midfielder-michael-ballack-celebrates-after-scoring-a-goal-picture-id51528948
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom