Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]ZABURI 121

5 BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.

6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku.

7 BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.

8 BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA IBADA NJEMA NAWAPENDA MJUE...[emoji7] [emoji7] [emoji7] MJIPENDE ZAIDI KWA KUUTAFUTA UFALME WA MUNGU KWA BIDII..SHALOM SHALOM[emoji120]
Amen
 
Back
Top Bottom