Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Duwa la kuku [emoji1][emoji1][emoji1]Mtaachana tu
Duwa la kuku [emoji1][emoji1][emoji1]Mtaachana tu
Itakuwa yupo active huyoAtakuwa mtoto wa marehemu babu huyu..[emoji23] [emoji23]
Mfyuuuuuuuu....hata mkojo wa punda hawakumezeshwa?
Inabidi wanywe dawa za oral
EwaaaaaaaaaaaaEehh. Hata gari unakanyaga mafuta mwendo inaenda wenyewe wee huku unahangaika na usukani.. ndio inavyopaswa
SawaHusna muba akuje akujibu unajua humu kila mtu na mtue
Maka kwa nini waitane kibabe babe uwongo wanaongopeana tu raha ya kuitwa babe kuchunguliana na kulana ujue nakukubali sana na mimiTeh teh teh.. kwahyo we unasema watu walane kiukweli.. haya sawa mie naanzaje kukupinga ndugu yangu.. katika watu nnaowakubali na kuwaamin we wa kwanza.. hata ukiniambia mchanga ni mtamu, mie nalamba[emoji23] [emoji23]
Hongera kwa 279kMambo.. zangu zinanendelea vizuri mjukuu wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba d ebu ukuje leo tumewekewa sura nyingine halaf wa leo wamekuwa wadogo ujue ebu ukuje baba angu tucheke
Kiporo kichungu hikiiWoyoooooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama nimecheka sana ujue binamu yangu obe upande binamu upande baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkongo jamaan pole
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndio uache kufukua viporo [emoji12][emoji12][emoji12]Kiporo kichungu hikii
Hizo jitihada hazijaanza Jana wala juzi,huenda huu ndio wakati wake wa kufanikiwa.....mmmmh;! Huyu Obe anayeongelewa hapa ni yupi? Maana nakuona tu na jitihada zako nzuri za kunipa ugonjwa wa moyo.
Ukijibu nitag
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hizo jitihada hazijaanza Jana wala juzi,huenda huu ndio wakati wake wa kufanikiwa
Shunie na binamu/baba yako kazeni buti
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4].....unacheka nini? Mbona watu hamna huruma na mie.
Anti yangu kashindwa hata kuniandikia wozapu ili iwe mimi na yeye tu. Sasa kitakachonipata ndo furaha yake
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Obe wewe obe ni mmoja tu humu anko wake baba d wangu kwahiyo sasa hivi upande baba upande binamu woooooozaaaaa mama angu nakupenda ujue [emoji7] [emoji7]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Kipiiiiii binamu baba jamaan [emoji1][emoji1][emoji1]
Kiroho safiii wakishakubaliana nambie nimkabidhi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ningeyajuaje yote hayo?![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndio uache kufukua viporo [emoji12][emoji12][emoji12]
Shemela za jioni, Nimekumiss sana shemela wangu, upo lakini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sijui kittu mimiHusna muba akuje akujibu unajua humu kila mtu na mtue