moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,040
- 16,870
Ipo kweliii make ukimya wako umenipa mashakaNiwatakie usiku mwema na nawapenda sana
Ipo kweliii make ukimya wako umenipa mashaka
embu acha kunifanya nionekane tahira mbele za watu bananimeificha chupu, tait na jeans kabisaIpo kweliii make ukimya wako umenipa mashaka
Huyo ni shemeji yakonimeificha chupu, tait na jeans kabisa
Mama akee shunie shikamoo mama jamaanAsante
Woyooooooooooo nimependa kwenye siku tutakayoonana tu mamaNafuahi sana kusikia u mzima ..naomba Mungu aendelee kukutunza mpaka siku tutakayoonana..Mungu akubariki karibu....![]()
![]()
Binamu asante sana ila sijapenda tabia yako
Hata me nimeonaHiii umeiwekaa kinafikiii
Me sijui baba d ebu muulizeHili li binamu mbona linapendaa kukuvuruga
Hapana nimesema tu mambo ya puchu sijui nini taratibuuu jamaan![]()
![]()
![]()
![]()
nakumbuka mama cha wivu usijal
UbarikiweNiwatakie usiku mwema na nawapenda sana
Mungu yu mwema sana anatufanikisha,wewe je mzimaNaimani kwa uwezo wa mwenyezi mungu nyote mu wazima
me mzima kabisa mpnzMungu yu mwema sana anatufanikisha,wewe je mzima
AminaUbarikiwe
Hapana nimesema tu mambo ya puchu sijui nini taratibuuu jamaan
sawa mama dMarahaba my baby girl za uzima ?umepika?mmekula?na mwwnangu amesifia chakula..ubarikiwe mwnangu uwe mke mwema..kama Mungu apendavyoMama akee shunie shikamoo mama jamaan
Love you