Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa mmoja sina hofu.. duniani kuna watu bilion 7, wanaume kama bilion 3.. means wanawake wapo zaid ya bilion hawana wa kuwasimamia ukucha.. hapo bado sijatoa mashoga, mahanithi, wagonjwa wa presha, kisukari, ambao wanazid kupunguza idadi ya vidume, sasa ya nin kupagawa wakat wanawake kibao wapo.. acha tu kama si yeye atatokea wa kunipenda, raha ya mahaba upendwe bhana, sio upende wewe uishie kujipendekeza..
 
BH, ngoja nimeze mate kwanza baada ya kukuita jina lako, natafuta maneno matamu ya kukwambia kuwa sijambo sana na kukuuliza u Khali gani wewe jumamosi hii..

Hapa najiandaa kwenda kwa maveterani wenzangu
Nafuahi sana kusikia u mzima ..naomba Mungu aendelee kukutunza mpaka siku tutakayoonana..Mungu akubariki karibu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom