Makapuku Forum

Makapuku Forum

Marahaba my baby girl za uzima ?umepika?mmekula?na mwwnangu amesifia chakula..ubarikiwe mwnangu uwe mke mwema..kama Mungu apendavyo[emoji7] [emoji7] Love you[emoji120]
Awww [emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji259] [emoji259] [emoji259] [emoji256] [emoji256] [emoji257] [emoji257] [emoji255] [emoji255] [emoji254] [emoji254] [emoji253] [emoji253] [emoji253] nimepika mama tumekula na mkweo amesifia sana nakumbuka somo lako la juzi mama la mwanamke vyombo [emoji7][emoji7] Nakupenda Mama yangu Yesu azidi kukutunza tu [emoji120]
 
Nakupenda sana...Bwana Yesu akutunze mpenzi[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
[emoji524]Imeandikwa Bwana asipoulinda mji wakeshao wakesha bure, ni Maombi yangu usiku wa Leo Bwana Yesu awalinde wana wa Mungu, Malaika wafanye vituo katika machweo ya Nyumba zenu, Jeshi la mbinguni liwazunguke usiku kucha mkawe wa shindi katika mambo yote, Damu ya Yesu inene mema kwa familia zenu, watoto, wajukuu ,wasaidiziwenu, kazi zenu, biashara na kila mlifanyalo likabarikiwe, Nimeomba nakuamini ktk Jina LA Yesu

Ameni

USIKU MWEMA MBARIKIWE TAIFA LA MUNGU NAWAPENDA MJUE[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji120]
 
Asante kwa maombi ya usiku, yameniongoza kutoka kufanya yangu maana sala zimelinda nyumba yangu
 
Back
Top Bottom