Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Mother house nshasema hutaki andamanaAsubuhi veeep baba d anaweza chukua simu yangu nisiingie niamshie
Mother house nshasema hutaki andamanaAsubuhi veeep baba d anaweza chukua simu yangu nisiingie niamshie
Wooooooozaaaaaaaaa binamu ndo maana anachomekea siku hizi....nimejuaaaMama mambo mukidee si uliona jana nilimuuliza mama kwahiyo binamu kashakununulia simu akaniambia ndio mana nipo kapuku ameshaninunulia [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa penalti[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Afadhali,umeshindaje
SawaWeee me niko single, afu sihitaji mpenzi kwa sasa
Unajuaaa ...ya nn uwape faida wenzakooo[emoji4] [emoji4]Kutalalika leo [emoji134] [emoji134]
Mother house wa kuchorwa [emoji1][emoji1] bongo movie kazini kama kawaidaMother house nshasema hutaki andamana
[emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji3] [emoji3] [emoji3] npo nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wooooooozaaaaaaaaa binamu ndo maana anachomekea siku hizi....nimejuaaa
Bado natafuta mwenye vigezoSio namjua baba d hivi anakaaje single
Ewaaa umeingia kazini eeehUtahitaji kilazima tu bado mmoja anakuja utajichagulia anaitwa tetra
Muziki: Furahiday ya Watu Wema
.....basi usisikie neno wema ukadhani ni jina Wema, kuna tofauti ya jina na neno hata kama kimantikia na kisemantikia yanafanana. Tofauti ipo tu na kuondoa hii tofauti ndo maana sasa inabidi nikusalimie maana baada ya kumsikiza kiongozi wa kambi ya upinzani hapa nyumbani kwangu, imebidi nirudishe majeshi nyuma maana hizi siasa za unyumba usizichezee hata kidogo.
Hujawahi kugombana na kaka wa mkeo wewe, si huwa wanasema ndugu wa mume wanangenga sana basi jaribu kugombana na kaka wa mkeo na ubavu wako ukawa upande mmoja na kaka yake. Hapo ndo utajua tunaposema period hatumaanishi nukta bali period endelevu na utachora sana hapo chini vinginevyo uwe na akili kama za mjomba wangu mzee nyumba nyingi almaarufu humu kama lee empire .
Muziki sasa, sijalewa japo nipo mitaa ya bakulutu hapa bar ya Magereza naburudika
Kweliii mpaka jinz na tushetii anachomekea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu wamejaa sana wenye vigezo vyote hakuna Ben 10 humuBado natafuta mwenye vigezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie kakuharibu jomoniiKweliiii kama unafikir pambo kabandikee ukutani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuu kazi yako hiyo nakusaidia tu ujueEwaaa umeingia kazini eeeh
Me mzm kk,l salute u!Jamani wazima nyie..
Naona mnatekana tu, ngoja namm nimteke money talk wanguu
Mbona haunijibu baba d jaman tunakesha leo humuUnajuaaa ...ya nn uwape faida wenzakooo[emoji4] [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa
Shemela langu la ukweli..Makaveli10
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] embu acha kuniumiza mbavu zangu hukoNdo utalisakaaa mgongoniiii
Maraaa papuuuuuu halipoooooooo...utakitafutaa kioo uhakikisheee