moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,040
- 16,870
Poa ile yenyewe yenyewe kabisaWakuuu nikimtoa binamu wanguu wa hasara mko poaa ??
Utahitaji kilazima tu bado mmoja anakuja utajichagulia anaitwa tetraWeee me niko single, afu sihitaji mpenzi kwa sasa
Ni poa mkuu.. shunie hajambo.Niajeee mkuu
tulia mamaaa utaona tuunaogopa we huwezi kukaa kwa mda humu muulize tumosa
Kumbe unamjuaaunaogopa we huwezi kukaa kwa mda humu muulize tumosa
Jamani wazima nyie..
Naona mnatekana tu, ngoja namm nimteke money talk wanguu

Salama tuu ndugu yangu.. za kwako shunie.Maka za wewe
Tangu lini mke akawa mkuu...
Alafu y umetumia simu yangu na kuandika hodiiiiii

Weee muacheee akikutaa hilo pambo halipoo ndo atasema
Hatutakiii jamaantulia mamaaa utaona tu
Huyu siku hz sijuii mganga wake kamtumaa kwangu??Hivi binamu unanitafuta nini? Huonagi wa kuwatolea mfano mpaka anko wako? Endelea baba binamu
Weee muacheee akikutaa hilo pambo halipoo ndo atasema
litayeyuka shem
Sio namjua baba d hivi anakaaje singleKumbe unamjuaa
Safi maka jamaan karibuSalama tuu ndugu yangu.. za kwako shunie.
Aliandikaa rafik yakoKaribu
Me huwa simuelewi baba d ujueHuyu siku hz sijuii mganga wake kamtumaa kwangu??
Kweliiii kama unafikir pambo kabandikee ukutani![]()
![]()
![]()
shem acha basi