Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Jaman [emoji134] hivi naanzaje kumwaribu mume mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie kakuharibu jomonii
Jaman [emoji134] hivi naanzaje kumwaribu mume mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie kakuharibu jomonii
Unazeeekaa mama ...ubibiii huoooBado natafuta mwenye vigezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu nimevuta picha ya kuchomekea jeans na tshirtKweliii mpaka jinz na tushetii anachomekea
Tunakupenda pia usijal pole na majukumuAhsante kk cjuti kua hapa na napokosekana ni majukumu c ridhaa yng,nakupenden sn makapuku wote kwa dhati ya moyo Wng!
Shunie kwa heshima na taadhima, naomba ufute kauli.. unatunyanyapaa masingleBaba D wangu naomba tukalale tuwaache masingle kesho tena tutakuja
Nko poa shemelaKwa penalti[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nimeshinda salama tu shemeji, sijui wewe shem lake.
Kaishakula miuno ya nyau..!!!?Kachoka amelala pembeni hapa
Jaman nakunyanyapaa vipi maka jaman tumosa kakupa mke umekataa ujue ngoja tetra akujeShunie kwa heshima na taadhima, naomba ufute kauli.. unatunyanyapaa masingle
Atasimamisha miaka huyo baba dUnazeeekaa mama ...ubibiii huooo
Nipo...Hivi kuna single huku?
Baki hvohvo mke mweee wenzio yunkulana ujueMother house wa kuchorwa [emoji1][emoji1] bongo movie kazini kama kawaida
Poapoa[emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mpe hi nzito
Hatukeshiii humuuMbona haunijibu baba d jaman tunakesha leo humu
Ndo zenu nyieEwaaa umeingia kazini eeeh
Weka picha tuamini kama mnakulana [emoji1][emoji1]Baki hvohvo mke mweee wenzio yunkulana ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humu wamejaa sana wenye vigezo vyote hakuna Ben 10 humu
Tunaondoka sa ngapi humu babeHatukeshiii humuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo zenu nyie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lenu moja mxiuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuu kazi yako hiyo nakusaidia tu ujue
Nakupgia debeShemela langu la ukweli..