Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Nenda entertainment utakutana nazo nimesahau majinaSawa mke mweeee me cpatagi natification so nabunia tuu

Utamwona asubuhiMwamshe nimemmiss shemela wangu mimi
Wapo na bongo movie THivi kuna single huku?
Mke mwee nimekupakazia nini mimi jamanWe nipakazie tuu
Asubuhi veeep baba d anaweza chukua simu yangu nisiingie niamshieUtamwona asubuhi
akuu ngoja nikae single kwanza kwa mudaNa we utapata kuna masingle wengi humu ujue
Tanteee luvMpya sio sana lakini
Hilo sio pambooakuu ngoja nikae single kwanza kwa muda
akuu ngoja nikae single kwanza kwa muda

unaogopa we huwezi kukaa kwa mda humu muulize tumosaWeee me niko single, afu sihitaji mpenzi kwa sasaMakaveli10
Mniache mieee![]()
![]()
![]()
nmeona Mond anajbebisha kiherehere kikaniisha
Hivi binamu unanitafuta nini? Huonagi wa kuwatolea mfano mpaka anko wako? Endelea baba binamuMuziki: Furahiday ya Watu Wema
.....basi usisikie neno wema ukadhani ni jina Wema, kuna tofauti ya jina na neno hata kama kimantikia na kisemantikia yanafanana. Tofauti ipo tu na kuondoa hii tofauti ndo maana sasa inabidi nikusalimie maana baada ya kumsikiza kiongozi wa kambi ya upinzani hapa nyumbani kwangu, imebidi nirudishe majeshi nyuma maana hizi siasa za unyumba usizichezee hata kidogo.
Hujawahi kugombana na kaka wa mkeo wewe, si huwa wanasema ndugu wa mume wanangenga sana basi jaribu kugombana na kaka wa mkeo na ubavu wako ukawa upande mmoja na kaka yake. Hapo ndo utajua tunaposema period hatumaanishi nukta bali period endelevu na utachora sana hapo chini vinginevyo uwe na akili kama za mjomba wangu mzee nyumba nyingi almaarufu humu kama lee empire .
Muziki sasa, sijalewa japo nipo mitaa ya bakulutu hapa bar ya Magereza naburudika
Muziki: Furahiday ya Watu Wema

KaribuHodiiiiiiii