Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Weee wakat lazima unipee cha afya cha usingziNakuona kama unataka kukesha ujue
Weee wakat lazima unipee cha afya cha usingziNakuona kama unataka kukesha ujue
Basi kuna story flani kama mbili hivi hata sikumbuki zinaitwajejaman sijaona mpenzi wangu
Entertainmentni wapi huko niende sasa hivi
Ile ya jana ujuehahahaaa nimeona asee, nikapita kimya kimya nisije kuaribu sala
Sasa utakaaje apa mpaka usiku mnene siunajua nikilala sitaki kuamshwa baba dWeee wakat lazima unipee cha afya cha usingzi
Baba D umefurahi nini jaman
Anasemea ya asubuhi bi mdashiSijaweka nataka kuweka mda si mrefu
Ayaaa tunamaliziaa ...waage bhasiiSasa utakaaje apa mpaka usiku mnene siunajua nikilala sitaki kuamshwa baba d
mwenzangu tena kwa lazima,anataka kukuweka
Tumosa kanishinda tabia ujueWeee wakat lazima unipee cha afya cha usingzi
halooo watu na babe zaoMpya nini?Basi kuna story flani kama mbili hivi hata sikumbuki zinaitwaje
Oooh kumbe, me nikajua ya asubuhiIle ya jana ujue
Nakuamini unajua hata nikikuacha na nani sina wasi wasiUnaniacha na moneytalk ??
Afadhali,umeshindajeNiko hapa mpendwa..
Karibu kiti shemeji..
Ya asubuhi labda mama kaweka sie ndio tunaingiaAnasemea ya asubuhi bi mdashi
Etiiii?Nakuamini unajua hata nikikuacha na nani sina wasi wasi
Tutoke sa 3 na nusu hiviiAyaaa tunamaliziaa ...waage bhasii